Bongosoka inakuletea habari zote za michezo zinazohusu mpira wa miguu hapa Bongo na wachezaji wali nje ya nchi. Habari zote za ligi kuu na ligi nyingine mbalimbali, undani wa maisha ya kispoti, uchambuzi ulioshiba kutoka kwa wataalamu wa mpira na mengine utayapata kupitia App hii.