Anuani Maneno Matatu(AM3)

Anuani Maneno Matatu(AM3)

Пакет:
com.anuanimanenoma3
Загрузки:
1K
Размер:
8 MB
Требуемая версия android:
4.0.3 или более поздняя
Обновлено:
10 сентября 2020
29
Последняя версия:
5.20.03.20
Возраст:
Для всех
Бесплатно Скачать

Sasa kila raia, biashara na kila mali isiyohamishika kwenye nchi za Afrika Mashariki imepata anuani ya kudumu. Ardhi yote ya Afrika Mashariki tumeigawanya kwenye miraba ya ukubwa wa mita tatu kwa tatu na kila mraba umepewa Anuani Maneno Matatu. Maneno matatu haya hayana maana yoyote. Ni maneno matatu tu. Ni rahisi kuyakumbuka na ni rahisi kutumia.

комментарии

Похожие