Ikiongozwa na maandiko kutoka wakolosai 3: 16 'Application ' hii imekusanya vitabu vya nyimbo za kikristo vinavyotumiwa na makanisa mbalimbali Afrika mashariki na kati; Unaweza kutafuta nyimbo kwa jina au namba yake kwenye kitabu husika.